Nitafahamu vipi bili...
Nitafahamu vipi bili yangu ya Maji kila mwezi?

Utapata ujumbe mfupi wa Bili yako kila mwezi kuanzia Tarehe 16 kupitia simu yako ya Mkononi.