Wahudhuria mafunzo Mzumbe
08 May, 2023
Chuo Kikuu Mzumbekimeandaa mafunzo ya CMS yanayojumuisha washiriki kutoka idara za TEHAMA na Uhusiano kwa Umma kutoka taasisi mbalimbali za serikali.


