Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Ujenzi

BARAZA LA TAIFA LA UJENZI

Habari

Waziri Mkuu ahitimisha maadhimisho Wiki ya Utumishi wa Umma •    Atoa hadi Julai 30, taasisi zote ziwe zimejiunga GovESB

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amehitimisha maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma ya mwaka huu, kwa kuhimiza taasisi zote zenye...

Jun 23, 2025
WIKI YA UTUMISHI WA UMMA-DODOMA: Katibu Mkuu Utumishi apongeza maandalizi ya banda la NCC

KATIBU Mkuu, Ofisi ya Rais- Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora (UTUMISHI), Bw. Juma S. Mkomi, ametembelea banda la Baraza la Taifa la Ujenzi (NC...

Jun 16, 2025
​Waziri Simbachawene azindua Wiki ya Utumishi wa Umma

  • Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene amezindua Wiki ya Utumishi wa Umma na kusisitiz...

    Jun 17, 2025
NCC kurejesha ubora viwango vya ujenzi shule za serikali

Serikali kupitia Baraza la Taifa la Ujenzi (NCC), lililo chini ya Wizara ya...

Jun 12, 2025
Utatuzi Migogoro kwa njia mbadala wa mahakama unawezekana

BARAZA la Taifa la Ujenzi (NCC) limesema uwezekano wa migogoro ya kibiashara, madai ya kimkataba na mingine iliyopo na inayojito...

Jun 12, 2025
NCC yaja na mfumo kusaidia Sekta ya Ujenzi

Waziri wa Ujenzi, Mhe. Abdallah Ulega, amewataka wakandarasi nchini kutekeleza miradi kwa weledi na kwa kuzingatia viwango, ili...

May 11, 2025
Naibu Waziri Ujenzi azindua Baraza la Wafanyakazi la NCC

Dodoma, Oktoba 23, 2024

Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhe. Godfrey Msongwe Kasekenya (Mb...

Oct 24, 2024
Serikali ya Dk Samia kuendelea kuinua Wanawake-Waziri Mkuu

WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kasim Majaliwa, amesema Serikali ya Awamu ya Sita, chini ya Uongozi wa Rais...

Mar 08, 2024
​Majengo ya Serikali Kuwekewa Viwango Maalum

Kwa muda mrefu Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imekuwa ikijengamajengo yake kwa kutumia wataalam mbalimbali kutoka k...

Feb 14, 2024
​Kamati uwezeshaji wazawa sekta ya ujenzi yatakiwa kuharakisha mchakato

Waziri wa Ujenzi, Mhe.Innocent Bashungwa ametoa mwezi mmoja kwa Kamati inayoandaa Mkakati wa Kuongeza Ushiriki wa Wazawa katika...

Feb 14, 2024
‘Hatua ya awali ya uandaaji Sheria ya Majengo yakamilika’

BARAZA la Taifa la Ujenzi (NCC) linaloratibu mchakato wa maandalizi ya Sheria ya Majengo nchini, limekamilisha hatua ya awali ya...

Dec 21, 2023
Serikali Kuweka Miongozo ya Ujenzi Majengo Nchini

Serikali inaandaa miongozo itakayotumika katika ujenzi wa majengo nchini ili kuhakikisha usalama, afya na ustawi kwa wanaotumia...

May 08, 2023
​‘Usuluhishi nje ya Mahakama tiba ya mrundikano wa kesi’

KWA kipindi kirefu mahakama nchini zimekuwa na changamoto ya mrundikano wa kesi mbalimbali, ambazo kwa namna moja au nyingine zi...

Apr 27, 2023
‘Mafunzo yanayoendeshwa na NCC yanatujenga’

WADAU wa Sekta ya Ujenzi wanaoshiriki mafunzo mbalimbali yanayotolewa na Baraza la Taifa la Ujenzi (NCC), wamesema mafunzo hayo...

Jan 10, 2023
Wafanyakazi NCC waungana na wengine kusherehekea Mei Mosi

KATIKA kutambua umuhimu wa Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi), wafanyakazi wa Baraza la Taifa la Ujenzi (NCC) wameshiriki ma...

Mar 05, 2021
Siku ya Wanawake Duniani: Wanawake NCC wasapoti maneno ya Samia

WAKATI Dunia ikisherehekea Siku ya Wanawake, Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan, amewataka waajiri wote nchini kutambua heshima...

Mar 12, 2021
Wajumbe wa Bodi NCC, Menejimenti watembelea mradi mkubwa wa umeme Rufiji

WAJUMBE wa Bodi ya Wakurugenzi ya Baraza la Taifa la Ujenzi (NCC) pamoja na menejimenti ya baraza hilo wametembelea mradi mkubwa...

Feb 02, 2021
Tutazingatia maadili ya Utumishi wa Umma-NCC

MAOFISA wanaoshughulika na masuala ya maadili ya Utumishi wa Umma kutoka Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa umma na Utawa...

Dec 17, 2020
Salamu za Pongezi kwa Mhandisi, Dk Leonard Chamuhiro-Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi

BODI ya Wakurugenzi ya Baraza la Taifa la Ujenzi (NCC), Menejimenti na Wafanyakazi wote wa baraza hili, tunayofuraha kukupongeza...

Dec 15, 2020