SHUGHULI ZA UPANGAJI MALISHO KATIKA KITUO CHA TALIRI UYOLE KILICHOPO MKOA WA MBEYA
28 Feb, 2024
Shughuli za upangaji malisho zinaendelea katika kituo cha TALIRI Uyole kilichopo Mkoa wa Mbeya, kanda ya Nyanda za Juu Kusini ikiwa ni mwendelezo wa tafiti mbalimbali za malisho bora