Mbuzi wa Maziwa
Mbuzi wa maziwa wanapatikana katika kituo cha TALIRI Tanga kilichopo Kanda ya Mashariki, Mkoani Tanga. Mbuzi hao ni Chotara wa Saanen na Toggenburg.