Dira na Dhamira
DIRA
Kuwa Taasisi ya mfano katika utafiti wa mifugo inayochangia kuboresha maisha ya wakulima na wadau wengine.
DHAMIRA
Kubuni, kuendeleza, kusambaza na kukuza matumizi ya teknolojia zinazofaa kwa wadau ili kuboresha tija ya mifugo kwa uendelevu.