Wanyama Wasiocheua
TALIRI inafanya utafiti wa wanyama wasiocheua kama kuku, bata, kanga, sungura, simbilisi, kwale na nguruwe kwa malengo yafuatayo:
1. Kuhifadhi, kuendeleza na kuboresha wanyama wasiocheua wa asili
2. Kuhifadhi, kutafiti, kuendeleza, kuboresha na kusambaza kuku wa asili aina ya Horasi
3. Utafiti, kuendeleza na kusambaza nguruwe bora