Miradi Inayoendelea
S/N |
Jina la Mradi |
Bajeti |
Mfadhili |
Muda wa Mradi |
Eneo la Mradi |
Msimamizi wa Mradi na Mawasiliano yake |
Kituo Kinachotekeleza Mradi |
Hatua ya Mradi |
1 |
Greening the Dairy Value chain Tanzania (Maziwa Faida Project) (Mradi wa kuboresha ufugaji wa ngómbe wa maziwa na mnyololo wa thamani wa maziwa kwa kuzingatia utunzaji endelevu wa mazingira) |
€3m |
Irish Aid / Ubalozi wa Ireland nchini Tanzania |
2022-2026 |
Tanga katika Wilaya za Tanga jiji na Muheza |
Dr. Zabron Nziku |
TALIRI Tanga |
Unaendelea |
2 |
Harnessing opportunities of dairy goat breeding for food and nutritional security of smallholder farmers in Tanzania (Mradi wa Kuboresha mbuzi wa maziwa kwa ajili ya fursa mbalimbali za kiuchumi na usalama wa lishe kwa wafugaji wadogo Tanzania) |
TZS 40m |
Ruzuku ya Serikali Kuu na Mapato ya Ndani ya TALIRI |
2018-2025 |
Utafiti unaendelea ndani ya kituo |
Dr. Zabron Nziku |
TALIRI Tanga |
Unaendelea |
3 | Tropical Poultry Genetic Solutions | $ 275,329 | Taasisi ya Bill na Melinda (via CGIAR/ILRI) | 2023-2025 | Kituoni, Lindi na Kilimanjaro |
Dr Ezekiel Goromela ezekiel.goromela@taliri.go.tz egoromela2013@gmail.com |
TALIRI Naliendele | Unaendelea |