Hotuba ya Mgeni Rasmi ya Uzinduzi wa Jengo la Watumishi
19 Dec, 2023
Pakua
Jengo la TALIRI Tanga limezinduliwa na Mh Abdallah Ulega (MB), Waziri wa Mifugo na Uvuvi lililokarabatiwa kwa ufadhili wa watu wa Ireland kupitia ubalozi wa Ireland hapa Tanzania.