Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Kilimanjaro

"Inaunganisha Tanzania na Dunia "
TAA Logo

Maduka yasiyotoza Ushuru

Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Kilimanjaro

Maduka yasiyotoza Ushuru

Maduka yasitoza ushuru wa bidhaa 
Katika uwanja wa ndege wa kIlimanjaro kuna duka maalumu liuzalo bidhaa zisizotozwa kodi. Duka hili linahudumia wasafiri wa waondokao kimataifa tu. Ndani ya duka hili kuna bidhaa mbalimbali  kama vile bidhaa za ngozi, elekroniki, manukato na vinywaji.