Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Kilimanjaro

"Inaunganisha Tanzania na Dunia "
TAA Logo

Vyumba vya Kuabudu

Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Kilimanjaro

Vyumba vya Kuabudu

Chumba cha Sara
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro una vyumba vya sala kwa waumini wa dini ya Kiislamu. Vyumba hivi vimeandaliwa ili kukidhi mahitaji ya kiroho ya wasafiri. Vina Qur'an, vifaa vya kusafisha miguu, na viashiria vya mwelekeo. Vyumba hivi vipo katika maeneo mbalimbali ya kiwanja kama vile ndani ya jengo la abiria, jengo la mizigo, na jengo la watu mashuhuri (VIP)