Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Kilimanjaro

"Inaunganisha Tanzania na Dunia "
TAA Logo

Migahawa

Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Kilimanjaro

Migahawa

Mgahawa wa Jambo
Mgahawa huu upo nje ya jengo la abiria pembeni ya jengo la kulipia maegesho. Jambo coffee umezungukwa na mazingira tulivu na kupendeza yenye kijani kibichi. Ni sehemu nzuri ya kupumzika na kujifurahisha. 
Menyu ya Jambo Coffee ina mchanganyiko mzuri wa vyakula vya Kiswahili na vya kimataifa, ikikidhi ladha tofauti. Iwe unasubiri ndege, unakutana na marafiki, au kwa mapumziko mgahawa huu ni sehemu sahihi