Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Kilimanjaro

"Inaunganisha Tanzania na Dunia "
TAA Logo

Makampuni ya Kuhudumia Ndege Kiwanjani

Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Kilimanjaro

Makampuni ya Kuhudumia Ndege Kiwanjani

Huduma za ndege Kiwanjani
Huduma za kuhudumia ndege ziwapo kiwanjani hufanywa na makampuni manne: Swissport, NAS, Equity pamoja na Via Aviation. Makampuni haya yanahakikisha huduma za uhakika zinatolewa kwa ndege zilizopo kiwanjani. Huduma zitolewazo ni kama vile, kusimamia mizigo, uhakiki wa tiketi za abiria (Checkin) n.k

Mawasiliano ya wahudumia ndege kiwanjani (Ground Handlers)
Swissport
Contact: +255 765 779 876
Email: Swissport@kia.co.tz

NasDarAirco
Contanct: +255 765 779 900
Email: nasdairairco@kia.co.tz

Via Aviation
Contact: +255 353 987 090
Email: viaaviation@kia.co.tz