Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Kilimanjaro

"Inaunganisha Tanzania na Dunia "
TAA Logo

Parking

Imewekwa: 08 January, 2024
Parking

Maegesho ya Magari
Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro umekarabati na kupanua eneo lake la maegesho ya magari ili kukidhi mahitaji ya abiria na watumiaji wengine wa uwanja katika kuegesha magari yao kwa urahisi na usalama. Eneo hili jipya lina uwezo wa kuhudumia idadi kubwa ya magari hata wakati wa uhitaji mkubwa wa maegesho (peak hours). Aidha, eneo la maegesho lina ulinzi muda wote kuhakikisha usalama wa magari na mali za watumiaji