Huduma za Hanga
Imewekwa: 28 July, 2024
Hanga (Eneo la kuhifadhia Ndege)
Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro una moja ya hangar kubwa zaidi katika historia ya usafiri wa anga barani Afrika. Hanga hili la kipekee lina upana wa mita 85, urefu wa mita 63, na kimo cha mita 33. Hanga hili ni kitovu cha matengenezo ya ndege cha Shirika la Ndege la Air Tanzania, na linaweza kuhifadhi ndege kubwa kama vile Boeing 787.
Mawasiliano
Air Tanzania Company Ltd
Stesheni ya KIA
Simu: 065 768 897