Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wakala wa Majengo Tanzania (TBA)

Ghana Kota

Imewekwa: 19 September, 2024
Ghana Kota

Maelezo ya Nyumba

Ukubwa : Mita za Mraba 2137.5

Idadi ya vyumba : 3

Eneo / Mahali : Mwanza

Hali : Inaendelea


Maelezo zaidi ya nyumba

Ujenzi huu ni wa ghorofa 7 na wenye uwezo wa kuchukua familia 14 kwaajili ya kupangisha Watumishi wa Umma.