Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wakala wa Majengo Tanzania (TBA)

Udhibiti Ubora

Kitengo hiki kinahusika na kuhakikisha majengo yote ya Serikali yanabuniwa na kujengwa kwa ubora na viwango vilivyowekwa. Kitengo kinaongozwa na Meneja.