Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wakala wa Majengo Tanzania (TBA)

Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani

Kitengo hiki kinahusika na utoaji ushauri wa usimamizi wa rasilimali za Wakala. Kitengo kinaongozwa na Mkaguzi Mkuu wa Ndani.