Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wakala wa Majengo Tanzania (TBA)

Kitengo cha Mitambo na Mashine

Kitengo hiki kinahusika na usimamizi, matengenezo, utunzaji kumbukumbu za mashine, mitambo na vifaa vilivyonunuliwa kwa ajili ya miradi ya ujenzi wa majengo ya Serikali. Kitengo kinaongozwa na Meneja.