Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wakala wa Majengo Tanzania (TBA)

Kitengo cha Ununuzi na Ugavi

Kitengo hiki kinahusika na utoaji wa utaalamu kuhusu manunuzi, ugavi na huduma za usafirishaji. Kitengo kinaongozwa na Meneja.