Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wakala wa Majengo Tanzania (TBA)

Ofisi za Mikoa

Ofisi za mikoa zinasimamia na kuratibu majukumu yote ya TBA kwa niaba ya menejimenti ya TBA katika mikoa. Ofisi za Mikoa zinaongozwa na Mameneja.