Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wakala wa Majengo Tanzania (TBA)

Kitengo cha Mawasiliano kwa Umma na Masoko

Kitengo hiki kinahusika na utoaji wa utaalamu wa kutangaza bidhaa na huduma zinazotolewa na Wakala. Kitengo kinaongozwa na Meneja.