Kitengo hiki kinahusika na utoaji wa utaalamu kuhusu matumizi ya TEHAMA na Takwimu. Kitengo kinaongozwa na Meneja.