DIRA
Kuwa kitovu cha ubora katika utoaji wa huduma ya Usimamizi na Uendelezaji wa Miliki ya Serikali.
DHIMA
Kutoa huduma ya majengo bora kwa Serikali na makazi ya gharama nafuu kwa Watumishi wa Umma kwa kutumia njia bora na fanisi za usimamizi wa Miliki ya Serikali, huduma ya Ushauri na Ujenzi.