Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wakala wa Majengo Tanzania (TBA)

Kitengo cha Usimamizi wa Miradi

Kitengo hiki kinahusika na utoaji wa ushauri na usimamizi wa miradi yote ya majengo ya Serikali na kutoa mapendekezo ya kitaalamu (kwa Mtendaji Mkuu) ili kutimiza malengo ya jumla na mahususi ya miradi. Kitengo kinaongozwa na Meneja.