Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wakala wa Majengo Tanzania (TBA)

Kitengo cha Huduma za Sheria

Kitengo hiki kinahusika na utoaji ushauri wa kisheria na masuala yahusuyo sheria, majukumu ya mkataba na madai. Kitengo kinaongozwa na Meneja.