Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wakala wa Majengo Tanzania (TBA)

HOTUBA YA MTENDAJI MKUU WA WAKALA WA MAJENGO TANZANIA (TBA) WAKATI WA HAFLA YA UFUNGUZI WA NYUMBA ZA MAKAZI ZA MAGOMENI KOTA AWAMU YA II B

12 September, 2024 Pakua

Hotuba ya Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania Arch. Daudi W. Kondoro wakati wa hafla ya ufunguzi wa nyumba za makazi kwa ajili ya watumishi wa Umma, katika eneo la Magomeni Kota awamu ya II B. Hafla ambayo ilihudhuriwa na mgeni rasmi Waziri wa Ujenzi  Mhe. Innocent Lugha Bashugwa tarehe 25 Julai, 2024.