Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

Shirika La Elimu Kibaha

Wananchi wapata taarifa za Shirika

Mratibu wa Maonesho ya Wakulima ya Nanenane mwaka 2025 wa Shirika la Elimu Kibaha, Bw. Sixbert Luzig akitoa maelezo kuhusu huduma zinazotolewa na Shirika kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Nzuguni jijini Dodoma. Wanafunzi hao walitembelea Banda la Shirika la Elimu Kibaha kwenye maonesho hayo yaliofanyika kwenye Viwanja vya John Malecela jijini Dodoma.