Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

Shirika La Elimu Kibaha

KITENGO CHA UNUNUZI NA UGAVI.

Malengo
Kutoa utaalamu na huduma katika ununuzi, uhifadhi, ugavi  wa bidhaa na huduma za Shirika la Elimu Kibaha.