Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

Shirika La Elimu Kibaha

KURUGENZI YA FEDHA NA UHASIBU

Lengo

Kutoa utaalamu wa juu wa Udhibiti, Usimamizi wa Fedha na Huduma za Uhasibu kwa Shirika la Elimu Kibaha.

Kurugenzi hii inajumuisha sehemu kuu mbili:

i.  Sehemu ya Fedha.

ii. Sehemu ya Uhasibu.