Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

Shirika La Elimu Kibaha

KURUGENZI YA MAENDELEO YA JAMII, MAFUNZO NA UZALISHAJI

Malengo

Kuratibu usimamizi na utawala wa mafunzo ya ufundi, uzalishaji na ujuzi wa ujasiriamali kwa ajili ya ustawi wa jamii.

Idara hii ina sehemu mbili, ambazo ni:

  1. Sehemu ya Uzalishaji wa Mifugo na Mazao
  2. Sehemu ya Chuo cha Maendeleo ya Watu wa Kibaha