Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
Iko kibaha mji
vitabu vipo
Shirika la Elimu Kibaha ni Shirika la umma linalotoa huduma mbalimbali. Shirika lipo katika Mkoa wa Pwani kilomita 40 magharibi mwa Jiji la Dar es salaam, pembezoni mwa barabara Kuu iendayo Morogoro.
Shirika la Elimu Kibaha lilianzishwa mwaka 1963 kama mradi wa pamoja chini ya wafadhili watano am...