Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

Shirika La Elimu Kibaha

Kurugenzi ya Huduma za Elimu

Lengo

Kuratibu usimamizi na utawala wa elimu ya Shule za Awali, Msingi na Sekondari pamoja na Maktaba ya Umma ya Kibaha.

Kurugenzi hii ina sehemu Sita, ambazo ni:

  1. Shule ya Sekondari ya Kibaha
  2. Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Kibaha
  3. Shule ya Sekondari ya Tumbi
  4. Shule ya Msingi ya Tumbi
  5. Kituo cha malezi na makuzi ya watoto
  6. Maktaba ya Umma ya Kibaha