Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

Shirika La Elimu Kibaha

MISINGI MIKUU

 

Misingi Mikuu 

Shirika la Elimu Kibaha linafuata maadili muhimu yafuatayo:

1. Linaimarisha huduma za afya na kupunguza maambukizi ya VIRUSI VYA UKIMWI na UKIMWI.

2. Linahakikisha linatekeleza na kuimarisha mkakati wa kitaifa wa kupambana na rushwa.  

3. Linaimarisha miundombinu ya kiuchumi, huduma na bidhaa.

4. Linaimarisha utawala bora na huduma za kiutawala.

5. Linaimarisha utayari katika nyakati za dharura na usimamizi wa majanga.

6. Linaboresha ustawi wa jamii, jinsia na ushirikishwaji wa jamii.

7. Linaimarisha miundombinu ya ICT, uhusiano na mawasiliano ya umma.