Mgeni rasmi, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania, Bw. Abdul Mombokaleo (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi na watumishi wa Shirika la Elimu Kibaha.
Baadhi ya walimu wa shule ya sekondari Kibaha wakiwa katika picha ya pamoja siku ya mahafali ya kidato cha sita yaliyofanyika katika viwanja vya Shirika la Elimu.
Wanafunzi wahitimu wa kidato cha sita katika shule ya sekondari Kibaha wakiwa katika picha ya pamoja.