Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

Shirika La Elimu Kibaha

KITENGO CHA UHUSIANO, MAWASILIANO NA MASOKO

Lengo

Kutoa utaalamu na huduma katika mawasiliano, masoko na majadiliano na umma na vyombo vya habari.