Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

Shirika La Elimu Kibaha

KURUGENZI YA HUDUMA ZA AFYA

Lengo

Kusimamia utoaji wa huduma za afya, jamii, na sayansi, pamoja na kuratibu huduma za kinga, uhamasishaji wa afya na huduma za matibabu kwa ustawi wa jamii.

Idara hii iko chini ya mapitio kutokana na hospitali ya Tumbi kuhamishiwa katika Wizara ya Afya, hivyo idara hii inajumuisha sehemu moja tu inayojulikana kama: Chuo cha Afya na Sayansi za Jamii cha Kibaha.