Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

Shirika La Elimu Kibaha

KURUGENZI YA UTAWALA NA USIMAMIZI WA RASILIMALI WATU

Malengo

Kutoa utaalamu na huduma kuhusu masuala ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu.

Idara hii ina sehemu kuu mbili ambazo ni:-

  1. Sehemu ya Utawala
  2. Sehemu ya Usimamizi wa Rasilimali Watu