Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

Shirika La Elimu Kibaha

Elimu

Elimu

Shirika linatoa huduma za elimu kwa jamii ya Watanzania, huduma hizo ni kama zifuatazo:

  1. Elimu ya msingi
  2. Elimu ya sekondari
  3. Elimu ya ufundi na fani mbalimbali
  4. Elimu katika afya na sayansi shirikishi
  5. Huduma ya malezi na makuzi ya watoto
Elimu