Utafiti na Ushauri
Utafiti na Ushauri
Shirika la Elimu Kibaha kwa kushirikiana na taasisi nyingine linafanya utafiti, linashauri, linatoa mafunzo kwa jamii na kwa wadau wengine mbalimbali. Maeneo ambayo Shirika linatoa huduma ni:
i. utafiti katika nyanja za kilimo, ufugaji, elimu na afya
ii. huduma za ushauri kwa lengo la kuwawezesha wananchi kijamii na kiuchumi
iii. huduma za mafunzo