Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

Shirika La Elimu Kibaha

Mahafali ya 52 ya Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Kibaha - Kibaha FDC

21 Nov, 2024
09:00:00 - 04:00:00
Viwanja vya Kibaha-FDC
Mkuu wa Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Kibaha

SHIRIKA  LA ELIMU KIBAHA

Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Kibaha - Kibaha FDC

Mkuu wa Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Kibaha - Kibaha FDC anapenda kuwakaribisha wananchi, wazazi na wanafunzi katika mahafali ya 52 yatakayofanyika tarehe 21 Novemba 2024 katika Viwanja vya Kibaha-FDC.

 

KARIBUNI SANA

Mahafali ya 52 ya Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Kibaha - Kibaha FDC