Maendeleo ya Jamii, Mafunzo na Uzalishaji
Maendeleo ya Jamii, Mafunzo na Uzalishaji
Shirika linatoa huduma mbalimbali za uwezeshaji kwa jamii kwa njia ya:
i. mafunzo ya kozi fupi na ndefu katika kilimo, ufugaji, ufundi magari, uwekaji umeme, uchomeleaji, ushonaji nguo na huduma nyingine mbalimbali
ii. huduma za ugani kwa madhumuni ya kuongeza uwezo kwa jamii katika elimu ya ujasiriamali