Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

Shirika La Elimu Kibaha

Uzinduzi wa mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa

Uzinduzi wa mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa utakaofanyika tarehe 2/4/2025 katika Viwanja vya Shirika la Elimu Kibaha.