Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wakala wa Majengo Tanzania (TBA)

Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Geita

Imewekwa: 24 October, 2024
Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Geita

Taarifa za Mradi

Mshitiri/Mteja : Katibu Mkuu Wizara ya Afya

Gharama : Billion 5,972,242,627.12

Aina ya Mradi : Design and Build

Eneo / Mahali : Geita

Tarehe ya kuanza : 2017-07-14

Tarehe ya Kumaliza : 2022-10-24


Taarifa zaidi za Mradi

Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Geita iliyojengwa eneo la Magogo mkoani Geita