Ujenzi wa Wodi na Mionzi Hospitali ya Rufaa ya Kanda Chato Awamu ya Pili
Ujenzi wa Wodi na Mionzi Hospitali ya Rufaa ya Kanda Chato Awamu ya Pili
Imewekwa: 25 October, 2024
Taarifa za Mradi
Mshitiri/Mteja : Katibu Mkuu Wizara ya Afya
Gharama : Billion 17,705,497,182.27
Aina ya Mradi : Design and Build
Eneo / Mahali : Geita
Tarehe ya kuanza : 2020-05-02
Tarehe ya Kumaliza : 2024-09-07
Taarifa zaidi za Mradi
Ujenzi wa Wodi, Kazi za Nje na Mionzi linalojengwa katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda Chato katika eneo la Kitela Chato Awamu ya Pili