Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wakala wa Majengo Tanzania (TBA)

Jengo la Huduma ya Afya ya Mama na Mtoto (Sekou Toure).

Imewekwa: 23 October, 2024
Jengo la Huduma ya Afya ya Mama na Mtoto (Sekou Toure).

Taarifa za Mradi

Mshitiri/Mteja : Wizara ya Afya

Gharama : Billion 13,916,811,260.29

Aina ya Mradi : Design and Build

Eneo / Mahali : Mwanza

Tarehe ya kuanza : 2017-10-13

Tarehe ya Kumaliza : 2023-04-20


Taarifa zaidi za Mradi

Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Mwanza