Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wakala wa Majengo Tanzania (TBA)

TBA ni nini?

Ni Wakala wa Majengo Tanzania ambayo ipo chini ya Wizara ya Ujenzi inajishugulisha na ujenzi wa nyumba za Watumishi wa Umma, Ushauri , Usimamizi na Uendelezaji wa Miliki za Serikali